Thursday, March 7, 2013

DK.SHEIN AZINDUA SACCOS MELI NNE ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuzindua Ofisi ya Meli Nne Saccos alipokuwa katika ziara yake Wilaya ya Magharibi Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi na Wananchi wa Jimbo la Dole alipofika kuzindua umeme katika jimbo hilo akiwa katika
ziara ya Wilaya Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Jimbo la Dole alipofika kuzindua umeme katika jimbo hilo akiwa katika ziara ya Wilaya Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi jana.

No comments: