Wednesday, March 13, 2013

DK.SHEIN ZIARANI KASKAZINI UNGUJA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiangalia maonesho ya kazi za vikundi vya wajasiriamali wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali jana. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments: