Wednesday, March 13, 2013

KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YATEMBELEA JESHI LA POLISI.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema (kushoto) akimsalimia mjumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema akiwafafanulia  jambo wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema (wa tatu kutoka kushoto) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.

No comments: