Wednesday, March 20, 2013

MABADILIKO TABIA NCHI KWA NJIA YA ASILI.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili  Mabadiliko ya Tabianchi kwa Njia ya Asili Mkutano huo Umefanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisini Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam, Kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia nchi kwa Njia ya Asili kwenye ukumbi wa Mkutano Ofisini Mtaa wa Luthuli Mjijini Dar es Salaam, Kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula kushoto Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Bw Richard Muyungi

No comments: