Friday, March 8, 2013

MDAU KASEBA NA BIRTHDAY YA MWANAWE!

Mtoto wa Bingwa wa ngumi za kulipwa uzito wa kati na bingwa wa taifa kwa mchezo huo Japhert Kaseba,  Zuzan Kaseba akimlisha keki mama yake Wema Kaseba wakati wa kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa iliyofanyika shuleni kwao ST Josephe juzi.
Bingwa wa ngumi za kulipwa uzito wa kati Japhert Kaseba kulia akiwa amemshika mtoto wake Suzan Kaseba wakati wa sherehe ya mtoto huyo kutimiza umri wa miaka 11 iliyofanyika shuleni kwao wengine ni mama yake mzazi Wema Kaseba pamoja na wanafunzi wanaosoma nao darasa moja katika shule ya msingi ST.Josepher

No comments: