Friday, March 8, 2013

MWAKYEMBE ALIPOKUTANA NA TAFFA!

Wananchama wa Wakala wa Forodha na Uondoshaji Shehena Tanzania (TAFFA), wakimsikiliza Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani), Wakati alipo kutana nao ukumbi wa Karimjeee. Waziri wa Uchukuzi amewaagiza wananchama hao kuhakikisha wanawaondoa mawakala ambao wanawaharibia sifa yao.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(Mwenye suti nyeusi), akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa Wakala wa  Forodha na Uondoshaji Shehena Tanzania(TAFFA) Bw. Edward Urio (kulia kwa Dkt Mwakyembe), wakati wa mkutano wake na Wananchama wa wakala hiyo.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa wanachama wa wakala wa forodha na uondoshaji shehena Tanzania(TAFFA) wakati alipokutana nao katika ukumbi wa Karimjee.


No comments: