Friday, March 8, 2013

MWAMVITA MAKAMBA AMJULIA HALI ABSALOM KIBANDA

Mwanvita Makamba, akiwa katika Chumba alicholazwa Mhariri Mkuu Mtendaji, wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd,Absalom Kibanda, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, wakati alipomtembelea kumjulia hali katika Hospitali ya Milpark baada ya kufikishwa katika hospitali hiyo jana usiku nchini Afrika ya Kusini. Picha na Amani Tanzania
Absalom Kibanda, akiendelea na matibabu katika Chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali hiyo. Picha na Amani Tanzania Blog


No comments: