Wednesday, March 13, 2013

Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga atembelea Kiwanda cha samaki Mwanza.

Naibu  Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akipata Maelezo ya Utengenezaji wa Samaki na   Meneja udhibiti ubora wa kiwanda cha samaki cha Vicfish Bw Jacob Maiseli wakati wa Ziara ya kulembeleana kukagua Uchafuzi wa Mazingira JIjini Mwanza
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akionyeshwa vifaa vya kufungia samaki kabla ya kusafirishwa nje ya nchi na meneja udhibiti ubora wa kiwanda cha samaki cha Vicfish mjini Mwanza Bw Jacob Maiseli.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akitoa Maelekezo kwa  Meneja Udhibiti Ubora Bw Jacob Maiseli kuhusu   Mfumo wa Maji taka wa Kiwanda cha Samaki cha Vicfish cha Jijini Mwanza alipofanya Ziara ya kutembelea na KujioneaUchafuzi wa Mazingira.
Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mbao za Plastiki Bw G Vedagiri wakiketi katika Meza iliyotengenezwa kwa Maplastiki kwenye Kiwanda cha Plastiki Jijini Mwanza Wakati wa Ziiara ya Kukadua Shughuli za Uchafuzi wa Mazingira.

No comments: