Friday, March 8, 2013

NYUMBA YA KULELEA WAZEE SEBLENI ZANZIBAR YAPATA VITANDA.

Baadhi ya Wazee wanaoishi kwenye nyumba za kulelea wazee eneo la Sebleni Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi (hayupo pichani) alipofika kukabidhi Vitanda 28 kwa wazee hao, ambavyo ni msaada wake yeye na Rais wa Zanzibar Dk.Shein.
Balozi Seif akisalimiana na baadhi ya wazee mara baada ya kuwakabidhi vitanda.
Balozi Seif akiangalia moja ya vitanda hivyo alivyo vikabidhi.

No comments: