Sunday, March 3, 2013

SIKU YA MAZINGIRA BARANI AFRIKA YAADHIMISHWA JIJINI DAR.

Mawaziri wa Nchi  Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan (kulia) na Wamazingira  Dk Terezya Huvisa,Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Chalrs Kitwanga na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sar es Salaam Said Meck Sadiki wakifanya Usafi Kandokando ya barabara ya Kawe wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo zimefanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni Wakati Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo  zimefanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika  Packers Kawe Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Wakifanya Usafi Kuadhimisha siku ya Mazingira Barani Afrika kwenye Viwanja vya  Tanganyika Packers Kawe Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Picha na Ali Meja

No comments: