Saturday, March 9, 2013

THE HABARI GROUP LAZINDULIWA RASMI.

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katikati akichangia katika harambee ya kikundi cha Habari (Habari Group) ambao ni waandishi wa Habari waliojikusanya kwaajili ya kujikwamua kiuchumi na pia kuhudumia jamii isiyojiweza kikundi hicho kinaendeshwa chini  ya jumuiya ya kukuza uchumi Ilala 'Jukuila' kikundi hicho kimezinduliwa March 8 Mlezi akiwa ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki wa pili kulia uzinduzi huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya Lamada kushoto ni mratibu wa hafla hiyo Bi, Rabia Bakari.
Baadhi ya wanachama wakijitambulisha mbele ya mgeni Rasmii.
Waandishi ambao ni wanachama wa kikundi hicho wakipo
Mratibu wa kikundi hicho Rabia Bakari akikabidhi Risala kwa mgeni Rasmi Balozi Khamis Kagasheki Waziri wa Maliasili na Utalii.

No comments: