Sunday, March 3, 2013

UGONJWA WA MUZIKI KUCHEZA UBONGONI. Bi Susan Root amekuwa akiugua ugonjwa wa muziki kucheza kwenye bongo lake kwa miaka mitatu mfululizo.

Bi Susan Root ahangaishwa na muziki bongoni
Kibao ambacho Bi susan anakisikia kikicheza ni kibao 'How Much is that Doggie in the Window' cha Mwanamuziki Patti Page kilichokuwa maarufu miaka  ya 50.Wataalam wanasema huu ni ugonjwa ujulikanao kama Tinnitus- Ugonjwa unaosababisha muziki au sauti uliyosikia utotoni ikijicheza akilini.BBC.

No comments: