Friday, March 8, 2013

WATUMISHI WANAWAKE WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakianza maandamano nje ya ofisi ya wizara hiyo kuelekea katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Lilian Mapfa.
Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ofisi za wizara hiyo kabla ya kuanza maandamano kuelekea katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Lilian Mapfa.

No comments: