Tuesday, April 23, 2013

DK.SHEIN AFANYA ZIARA YA KUIMARISHA CCM ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, akisalimiana na Watoto wa Skuli ya Chekechea ya Amani, mara
baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la Skuli hiyo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Unguja

No comments: