Tuesday, April 30, 2013

MAHOJIANO NA BI SALAMA AKA MAMA MANYOKA.

Msanii aliekua akipenda kucheza na Nyoka  jukwaani Bi Salam maarufu Manyoka akiwa na Mwanaharakati wa Jamii Pruduction Mubelwa Bandio wakati akifanya mahojiano nae.Picha kwahisani ya Swahilivilla.
Karibu katika mahojiano haya na mmoja wa wasanii wakongwe nchini Tanzania, ambaye pia ndiye msanii wa kwanza wa kike kucheza na nyoka Bi Salma Moshi.

Katika mahojiano haya, Bi Salma anaeleza mambo mbalimbali yakiwemo..

1: Historia yake katika sanaa?
2: Uhusiano na ushindani uliokuwepo kati ya kundi lake na makundi mengine?
3: Alijiingiza vipi kwenye kucheza na nyoka?
4: Ni nini unachotakiwa kufahamu kabla hujaanza kucheza na nyoka?
5: Ni kweli kuwa sanaa ya kucheza na nyoka huushisha ushirikina?
6: Ni kweli kuwa alikuwa akiishi na wale chatu nyumbani kwake?
7: Ni kwanini sanaa za jukwaani hvutia zaidi watu toka nje ya nchi?
8: Kama ni kweli kuwa soko kubwa la muziki wa asili liko nje ya nchi, kwanini wasanii wake hawapato shows nje ya nchi?
9: Ni kipi kinasababisha maisha duni kwa wasanii mambali nchini?
Na mengine mengi

KARIBU UUNGANE NASI

http://www.youtube.com/watch?v=pQRFts-wwjQ

No comments: