Thursday, April 25, 2013

MAKAMPUNI YA MAJI NA UMEME YA KWA MZE MADIBA YATUA ZANZIBAR.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Ujumbe wa Viongozi wa Makampuni ya Maji na Umeme (Botjheng Water na Megtron)  ya Afrika Kusini pamoja Uongozi wa Wizara ya Ardhi , Makazi, Maji na Nishati aliokutana nao Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Sekta ya maji.

Vp umeme?

Tutawasaidia!

Tuendeleze mahusiano!

No comments: