Friday, April 26, 2013

MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja naye kwenye gari hilo la wazi ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange.
Moshi wa rangi za bendera ya Taifa la Tanzania ukitoka kwenye ndege za kivita za jeshi la wananchi la Tanzania (JWTZ).
Kama kawa nasisi tunajigamba! Lakini mazoezi tu hakuna mechi hata ya kirafiki!

No comments: