Monday, May 27, 2013

MRADI MKUBWA WA MAJI KUTOKA BAGAMOYO UMEANZA KUTEKELEZWA.

Mabomba ya mradi wa kusafirisha maji kutoka Mkoani Pwani yakiwa yametandazwa kwenye barabara ya Bagamoyo tayari yakisubiri kuchimbiwa chini ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la maji linalo likabili jiji la Dar es Salaam kama yalivyokutwa na kamera ya mtandao huu leo.
Kazi ya kulaza mabomba ikiendelea.

Mafundi vijana wakitanzania wakiongozwa na mafundi wa kigeni kutoka China ndio walioonekana wakifanya kazi hiyo.
Tukae mkao wa kunywa kazi inaonekana!
Hii ni kona gani kama unatoka Bwagamoyo?

No comments: