Friday, May 31, 2013

UGENI WA CHINA WAKUTANA NA BALOZI SEIF IDI.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Mkuu wa Divisheni ya Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa  katika Idara ya Biashara ya Jimbo Heilongjiang Nchini China Bwana Li Leyu Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Bwa Li Leyu akiuongoza Ujumbe wa Viongozi wane wa Idara hiyo upo Zanzibar kati a azma ya Idara yao kutaka kuwekeza Vitega Uchumi katika Viwanda vya mazao ya Baharini { Kamba na Samaki }.
Picha na Hassan Issa na  –  OMPR – ZNZ.

No comments: