Monday, May 27, 2013

WAFANYAKAZI MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF) WATAKIWA KUCHAPA KAZI KWA KASI.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Balozi Ally Mchumo, akifungua Mkutano wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Mfuko huo Mjini Bagamoyo leo, ambapo aliwahimiza wafanyakazi kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo waliyojiwekea hasa suala la kuwafikishia huduma watanzania wengi zaidi.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza hilo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi Balozi Ali Mchumo.
Wakinukuu maagizo na maelezo yalikuwa yakiwasilishwa kwenye mkutano huo.
Sawasawa!
"Tunakuelewa!"

Picha ya Pamoja!

No comments: