Tuesday, May 28, 2013

WAWAKILISHI WA UMOJA WA ULAYA WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi katika Kikao na Wawakilishi wa Nchi za Umoja wa Ulaya waliomtembelea Wizarani..  Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema pia alihudhuria Kikao hicho akiwa na Wakuu wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam (Kushoto).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi  akizungumza na mmojawapo ya Wawakilishi wa  nchi za Umoja wa Ulaya waliofanya kikao naye jijini Dar es Salaam katikati ni Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Said Mwema.

No comments: