Friday, May 31, 2013

ZIARA YA DK.SHEIN NCHINI CHINA, Akutana na wataalammbalimbali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Madaktari wakati alipotembelea Hospitali Kuu ya Mjini Nanjing jimbo la Jiangsu Nchini China akiwa katika ziara ya kiserikali katika kukuza uhusiano.
Baadhi ya madaktari wa  Drum Tower Hospital wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa na ujumbe wake akizungumza katika kikao cha kubadilishana mawazo na uongozi wa Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya jamhuri ya Watu wa China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto)Mama mwanamwema Shein kulia na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya maendeleo Omar Yussuf Mzee,wakianagalia picha baada ya kumalizika kikao cha pamoja na uongozi wa  Drum Tower Hospital, .[Picha na Ramadhan Othman,China.]

No comments: