Sunday, June 2, 2013

LOWASSA ACHANGISHA 305.4MILLIONI ZA MAENDELEO YA NYASA.

Waziriri Mkuu Mstahafu Mh. Edward Lowassa , akimshuhudia Mke wa Waziri wa Mambo ya Nnje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, Mama Membe wakati akichangia pesa taslimu Tsh.1Millioni wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya Wilaya Mpya ya Nyasa Mkoani Rukwa iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam, ambapo zaidi ya Tsh.305.4Millioni zilichangwa pesa taslim pamoja na ahadi.

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward L owassa, akipeana mkono na Prof. Mbele akimhamasisha kuchangia pesa wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya Wilaya Mpya ya Nyasa Mkoani Rukwa iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam, ambapo zaidi ya Tsh.305.4Millioni zilichangwa pesa taslim pamoja na ahadi.
Akipeana mkono na Mbunge wa Kibaha Koka Silivestry wakati wa harambee hiyo (aliyekaa katikati) ni Mbunge wa Mbinga Magharibi ambayo imegeuzwa na kuwa Wilaya ya Nyasa.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akimkabidhi mchangowake Mratibu wa harambee ya maendeleo ya Wilaya ya Nyasa iliyopo kwenye Mkoa wa Rukwa ambapo yeye na marafikizake walichangia kiasi cha Tsh.65Millioni kwenye harambee iliyokusanyaTsh. 305.4Millioni iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam.

No comments: