Wednesday, July 3, 2013

WAZIRI MUHONGO AFAFANUA MIRFADI YA UMEME NA GESI NCHINI, Ni kwenye kongamano la matokeo makubwa sasa "Big Result Now"

Waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospetrer Muhongo akibonyeza kitufe kuzindua mkakati wa serikali wa matokeo makubwa sasa ( Big Result Now) ambao unatilia mkazo kwenye miradi mikubwa yenye faida kwa haraka, mara baada ya kuhutubia wananchi na wadau wa sekta ya nishati ya gesi na umeme kwenye kongamano la wazi lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Waziri akihutubia wadau wa nishati.
Mzee Saidi Manoro kutoka Kilwa akiwasilisha maoni yake kwenye kongamano la wazi la sekta ya nishati nchini lililofanyika leo jijini Dar es Salaam, ambapo mzee huyo alimtaka Waziri wa Nishati kutowapuuza wananchi wa kusini na kuwaambia wajinga badalayake awasikilize bila hivyo hata hayo maendeleo hayatakuwepo kwakuwa akiwapuuza yanaweza kutokea madhara makubwa hapo baadaye.
Wadau waliojitokeza kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa makini hotuba ya waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo.
Wadau waliojitokeza kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa makini hotuba ya waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akitoa ahadi ya kutekeleza mipango iliyopo kama atashindwa atawajibika kabla ya kuwajibishwa.
Wadau waliojitokeza kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa makini hotuba ya waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo.
Mmoja wa wadau wa nishati ya Umeme akiuliza maswali kwenye kongamano hilo.
Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)Felchesmi Mramba, akiwaahidi watanzania waliohudhuria kongamano hilo kuwa atatekeleza mikakati yote iliyopo bila kusuasua na kama itasuasua atawajibika kabla ya kuwajibisha.

No comments: