Wednesday, November 26, 2014

BUNDUKI MPYA YA YANGA HII HAPA! Mashauzi ya nnje ya uwanja kibao. Kutoboa pua masikio, Tunasubiri uwanjani tuone.

Mchezaji mpya wa Klabu ya Yanga Mbrazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe (24) 

Mchezaji mpya wa Klabu ya Yanga Mbrazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe (24) (watatu kushoto), anaecheza nafasi ya kiungo mkabaji akiwasili na kupokelewa na Meneja wa timu hiyo Hafidh Saleh (kulia),  kwenye Uwanja  wa  Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, (wapili kushoto) ni mchezaji wa timu hiyo Andrey Countinho 

No comments: