Sunday, November 30, 2014

DOGO Diamond Platnumz Aipaisha TZ.


Msanii Maarufu Nchini Tanzania Nasibu Abdul(Diamond Platnumz) amenyakua Tuzo tatu kati ya nne za ‪#‎CHOAMVA14‬ alizokuwa akiwania, Tuzo alizochukua ni Most Gifted East, Most Gifted Afro Pop video na
Most Gifted New Comer. Tuzo aliyokosa ni
Most Gifted Video Of The Year iliyochukuliwa na Doc Shebeleza.
Mashindano hayo ya kimataifa yamefanyikia Afrika Kusini. Diamond anaendelea kuing'arisha Tanzania kimataifa.

No comments: