Sunday, November 23, 2014

HONGERENI WOTE SAFARI ILIKUWA NDEFU!

Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki (kushoto), akimkabidhi cheti Muhitimu aliyefanya vizuri Shahada ya Kwanza ya Jinsia na Maendeleo, Nyamambara Simon katika Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika Dar es Salaam leo. W apili kulia ni Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo, Samwel Lunyelele na Mkuu wa Chuo, Profesa Shadrack Mwakalila.

Mwanahabari, Msuya Selemani (katikati), akiwa na wanafunzi wenzake baada ya kuhitimu Shahada ya Kwanza ya Siasa na Uendeshaji wa Maendeleo ya Jamii. 

 Wimbo wa Taifa ukiimbwa- Kutoka kulia ni Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo, Samwel Lunyelele na Mkuu wa Chuo, Profesa Shadrack Mwakalila, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Maryam Abdallah Yusuph na Mjumbe wa Bodi Dk.Terezya Huvisa (MB).
 Mwanahabari, Msuya Selemani (watatu kulia mbele), akiwa na wanafunzi wenzake baada ya kuhitimu Shahada ya Kwanza ya Siasa na Uendeshaji wa Maendeleo ya Jamii. 
 Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki. 
Mwanahabari Mwandamizi Msuya Selemani.

No comments: