Wednesday, November 12, 2014

KALALE KWA BURIANI!

Mhariri Mkuu wa gazeti la Raia Tanzania Godfrey Dilunga akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mwandishi wa gazeti hilo kwenye safu ya jarida la Siasa Robert Lengeju, mara baada ya misa iliyofanyika kwenye kanisa Katoliki la Msimbazi Center jijini Dar es Salaa leo.
Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia kuagwa kwa mwili wa Robert Lengeju.
Baadhi ya wanafalia wakilia wakati mwili huo ukipakizwa kwenye gari tayari kwa kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Kipera Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro.
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Lengeju.

No comments: