Wednesday, November 26, 2014

KAPUMZIKE KWA AMANI LEONARD MASHAKA.

Askari wa Jeshi la polisi Tanzania wakiweka jeneza la aliyekuwa Kamishina Msaidizi wa Polisi mstaafu Leonard Mashaka ambaye alizikwa jana katika makaburi ya Kindondoni jijini Dar es Salaam.

No comments: