Friday, November 14, 2014

KESI YA MATAKA WA ATCL YAENDELEA LEO.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la ndege Tanzania (ATCL) David Mataka (aliyeshika kitabu) akiwasili kwenye mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi inayomkabili na wenzake wawili. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, kulia ni Mshtakiwa mwenzake aliyekuwa Afisa Mkuu wa kitengo cha fedha Elisaph Ikomba.

No comments: