Friday, November 14, 2014

MACHINGA COMPLEX YAWAKA MOTO.

Jengo la Machinga Complex likiteketea kwa moto leo mchana.
Kazi zikiendelea!
Askari wa jeshi la Polisi wakihoji baadhiya mashuhuda ili kujua chanzo cha moto huo.

No comments: