Saturday, November 15, 2014

MASHALI, PAZI KUZITWANGA!

Bondia Thomasi Mashali kushoto na Abbdallah Pazi (kulia) wakisaini makubaliano ya kupigana  baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika january mosi katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na Super D.

No comments: