Friday, November 14, 2014

MISS TANZANIA KUKWEA PIPA KESHO KUSHIRIKI MISS WORLD.

MissTanzania 2013 ambaye anaiwakilisha nchi kwenye shindano la Miss World Happiness Watimanywa, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu safari ya kuwakilisha nchi kwenye mashindano hayo yatakayofanyika nchini Uingereza ambapoleo hii anatarajiwa kuondoka nchini, kulia ni Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga. Picha na Said Powa
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akitoa maelezo kuhusu safari ya M Tz huyo.
Alipo nyakua taji hilo.

No comments: