Wednesday, November 26, 2014

NCHI IMEOZA HADI ALTARENI....

Tunapokuwa na nchi iliyooza, viongozi wa dini wako mstari wa mbele kuchukua milungula na hela za rushwa zilizojaa damu na mateso ya kodi za wananchi.
Ni aibu mno, sielewi hawa maaskofu wangu wanasimama kwenye altare kufanya nini...ni kufuru na aibu kwa mimi Mkatoliki na wakatoliki wote duniani.
Wakati Bunge linafukuza wezi, ni muhimu na Kanisa Katoliki lifukuze hawa maaskofu walafi na kuwapeleka mahakamani. Kisha kanisa lijivue ushenzi huu, lirejeshe pesa hizi kwa niaba ya watumishi hawa mafisadi na walafi wa fedha. AMEPOST JULIUS MTATIRO KWENYE ACOUNT YAKE YA FACEBOOK.
List hii ilivuja mapema kabla hata kamati ya bunge haijawataja, lakini kuna ongezeko la wahusika kwenye List hii, wakiwemo viongozi wa dini.

No comments: