Thursday, November 13, 2014

NOVEMBER 14 SIKU YA KISUKARI! Na tuadhimishe kwa kupeana elimu.

Naibu Waziri wa Afya Kebwe Stephen Kebwe, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya Kisukari duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka November 14, ambapo nchi mbalimbali huadhimisha siku hiyo. Siku ya kisukari duniani ilianza kuadhimishwa 1991, wapili kulia ni Mkurugenzi wa magonjwa yasiyo ambukiza Dk.Ayubu Magimba.
Naibu waziri wa Afya Kebwe (kulia) waandishi wa habari kushoto wakati wa kutangaza maadhimisho hayo.

No comments: