Tuesday, November 18, 2014

Rais Dk.Shein akutana na Uongozi wa Chama cha wapatholojia Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Chama cha Wapatholojia wa Tanzania walipofika Ikulu Mjini Zanzibar  kwa ajili ya Kujitambulisha kwa Rais leo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Chama hicho Dk. Charles Massambu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Chama cha Wapatholojia wa Tanzania walipofika Ikulu Mjini Zanzibar  kwa ajili ya Kujitambulisha kwa Rais leo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Chama hicho Dk. Charles Massambu,Picha na Ikulu.

No comments: