Friday, November 14, 2014

VITAMBULISHO VYA TAIFA, Utaratibu wa utoaji walalamikiwa jijini Dar.

Mmoja wa maafisa kwenye ofisi ya kata ya ubungo akiita majina ya kwenye vitambulisho ili kuwakabidhi wenyewe, jambo ambalo limelalamikiwa nakusema utaratibu huo ni mbovu kwani wengi wa wanaosomwa inakuwa hawajafika na kufanya zoezi hilo kuwa la muda mrefu.

Baadhi ya wananchi hao wakihangaika kutafuta majina yao kabla ya kuweka foleni kuchukua vitambulisho hivyo.
Tutayaona,
Nimeshindwa naondoka.

No comments: