Wednesday, November 26, 2014

WALIOCHOTA MABILIONI STANBIC BANK WAPANDISHWA KIZIMBANI.

Anastazia Frank Lingo (46) (kushoto) na Selestine Nalongwa Mkumbo (46) (wapili kushoto) wakiingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es jana kusomewa mashtaka ya kula njama ya wizi kwenye Benki ya Stanbic tawi la Mayfair Plaza na kufanikisha kuibwa fedha Tsh.186Millioni, USD 175Millioni na Euro 126. 
Hawa ndio jamaa waliokamilisha mchezo mzima wizi wa kutumia silaha kwenye Benki ya Stanbic tawi la Mayfair plaza wakifikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam juzi, kusomewa mashtaka yao kulia ni mshtakiwa namba moja Richard Gulo Otieno (37) na  Francis Nditu (39), wanyuma ni Jumanne Sadick.

No comments: