Friday, December 12, 2014

BALOZI SEIF AMUAGA MENEJA WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA USAFIRISHAJI.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akisalimiana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya usafirishaji Mizigo Majini ya CMA CGM Philippe Bablon, kwenye tafrija ya kuagwa kwa Meneja wa Kampuni hiyo Tawi la Zanzibar Burhan Mohamed mjini Zanzibar leo.
Naibu Meneja Mkuu wa Kampuni ya CMA CGM Peter Kirigini,  kushoto akimzawadia Picha ya ukumbusho Meneja Mstaafu wa Kampuni hiyo Tawi la Zanzibar Burhan Mohamed kwenye tafrija maalum ya kuagwa rasmi mjini Zanzibar leo, ni Mratibu wa mauzo na masoko wa Kampuni hiyo Bwana Paul – Henri  Roudiece.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Kampuni ya CMA CGM na Burhani Mohamed (watatu kushoto) aliyestaafu nafasi ya Umeneja wa Tawi la Kampuni hiyo akiwa na Familia yake kwenye Tafrija ya kuagwa rasmi.
Balozi Seif akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya usafirishaji ya CMA CGM Bwana Philippe Bablon.

No comments: