Monday, December 8, 2014

HOME WiFi ya Airtel Yazinduliwa.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Jackson Mbando, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya HOM WI-FI itakayowawezesha watejawake wanaotumia INTERNET kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwakuwaunganisha na wifi watu 32 ndani ya familia na kusaidia kuwaunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahalui popote nchini Tanzania, na Inernet ya 3.75G. Kulia ni Meneja masoko wa Airtel Home WiFi Gaurav Dhingra.
Meneja masoko wa Airtel Home WiFi Gaurav Dhingra akizungumza.
Meneja masoko wa Airtel Home WiFi Gaurav Dhingra mbele ya waandishi wa habari.
Product tunaizindua!
Mwandishi wa EATV ajishindia WiFi yake.

No comments: