Wednesday, December 31, 2014

'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBEA UBO!

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka (kushoto) na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga Feb 28 mwakani katika ukumbi wa frends corner Manzese Dar es salaam.
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb  katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam
Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe'. 

No comments: