Sunday, December 7, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT BILALI ABARIKI KANISA LA KIASKOFU LA ROHO MTAKATIFU LA JIMBO LA KONDOA MKOA WA DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilai akizungumza na waumini wa Dini ya kikiristo wakati washerehe za kutabaruku Kuweka wakfu, kanisa la Kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la kondoa  jana 4/12/2014 iliofanyika Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Askofu mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania Kardinali Polcarp Pengo wakati wa Sherehe za Kutabaruku kuweka wakfu, kubariki kanisa lakiaskofu la roho Mtakatifu la jimbo la kondoa iliofanyika wilayani kondoa mkoa wa Dodoma juzi 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipongezwa na Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la kondoa Baba Bernadin Mfumbusa mara baada ya kuzungumza na waumini wa kanisa la kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la Kondoa juzi, iliofanyika walaya ya kondoa mkoa wa Dodoma.

No comments: