Monday, December 15, 2014

MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA.


Monduli; Kitongoji Kambi ya Mkaa

CHADEMA 27
CCM 13

Mwanga Mtaa wa Lwami;

CHADEMA 55
CCM 35

Arumeru Magh. Kitongoji Endulele

CHADEMA 170

CCM 130

Ushirombo mjini;

CHADEMA inaongoza vitongoji 10
CCM inaongoza vitongoji 4

Moshi Manispaa; Kitongoji Longuo A

CHADEMA 206
CCM 66

Mbozi Mtaa wa Mbugani

CHADEMA 227
CCM 160

Mbozi; Mtaa Masaki

CHADEMA 99
CCM 44

Kigoma Mjini; Mtaa wa Gezaulole

CHADEMA 240
CCM 198

Ukonga- Mtaa wa Kivule Majohe

CHADEMA 231
CCM 77

Musoma Vijijini- Kijiji cha Muhoji

CHADEMA 197
CCM 464

Ubungo- Mtaa wa Msewe

CHADEMA 683
CCM 356

Kinondoni- Mwenge Nzasa

CHADEMA 344
CCM 318

Tarime Forodhani boda (kitongoji)

CHADEMA 289
CCM 90

Tarime Forodhani Kijiji

CHADEMA 312
CCM 99

Monduli Mto wa Mbu Kijiji Jangwani

CHADEMA 147
CCM 124

Mwanga Kitongoji Mgagao

CHADEMA 56
CCM 32

Rorya- Mtaa Ngasaro

CHADEMA 480
CCM 360

Arumeru Mash. Mtaa wa Manyata

CHADEMA 168
CCM 91

Ubungo- Mbezi Yusuph
CHADEMA 190
CCM 163

Mwanga- Mtaa Mtahang’a
CHADEMA 116
CCM 73

Ilemela- Mtaa wa Pasiansi
CHADEMA 689
CCM 247

Karatu- Mtaa Mazingira
CHADEMA 290
CCM 130

Karatu Mtaa wa Maliasili
CHADEMA 240
CCM 77

Karatu- Mtaa wa Manyara
CHADEMA 220
CCM 170

Tarime Mtaa wa Bugosi
CHADEMA 438
CCM 138

Tarime Mtaa wa Regoryo
CHADEMA 191
CCM 75

Segerea Mtaa wa Migombani
CHADEMA 547
CCM 225

Mamlaka ya Mji mdogo Shirati-Rorya ina mitaa 9
CHADEMA mitaa 7
CCM mitaa 2

Mererani mitaa 8
CHADEMA mitaa 7
CCM mtaa 1

TAKWIMU ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA TANZANIA. mwaka 1999 kulikuwa na mitaa 2757 nchi nzima ,ccm ilishinda mitaa 2510 na wapinzani kwa ujumla wao,walishinda mitaa 247.Mwaka 2004 kulikuwa na mitaa 2600 nchi nzima,ccm ilishinda mitaa 2297 na wapinzani kwa ujumla wao walishinda mitaa 303,Mwaka 2009 kulikuwa na mitaa 2515 nchi nzima,ccm ilishinda mitaa 2242 na upinzani kwa ujumla wao walishinda mitaa 200. TAKWIMU HIZI ZIMETUFANYA WANA CCM TUBWETEKE,MATOKEO YA MWAKA HUU YATATUAMSHA TUACHE KIBRI NA KUJIAMINI.

No comments: