Monday, December 15, 2014

MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA VIJIJI NA VITONGOJI. UKAWA--NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI NA DALILI YA VUA NI MAWINGU.


NEWALA
Chama Cha Mapinduzi CCM Kimeshinda Mitaa 20
Chama cha wanichi Cuf Kimeshinda Mitaa 11
Chama Cha CHADEMA Kimeshinda Mtaa I
Pia Chama Cha Wananchi Cuf kimeshinda VITONGOJI 156
TANGA
Chama Cha Wananchi Cuf Kimeshinda Mitaa 62
Chama Cha CHADEMA Kimeshinda Mitaa 3
PANGANI
Chama Cha Wananchi Cuf Kimeshinda Vijiji na vitongoji vyote kasoro vinne 4 ambavyo CCM waliweka pingamizi.
GEITA
Chama cha Wananchi Cuf kimeshinda VIJIJI 13 na VITONGOJI 33
SHINYANGA MJINI
Chama Cha CHADEMA Kimeshinda VIJIJI na VITONGOJI 19
Chama Cha Wananchi Cuf kimeshinda Vijiji na vitongoji 15
ARUSHA Mjini
Chama Cha CHADEMA wameigaragaza CCM na kuwaacha mbali sana kati ya mitaa 155 CHADEMA tumenyakua mitaa 110 kabla ya uchaguzi huu Chadema walikua na mitaa 7 .
SINGIDA MASHARIKI
Chama Cha CHADEMA imeshinda vijiji 41 kati ya vijiji 43 vilivyofanya uchaguzi.
ROMBO
Vijiji ambavyo matokeo tayari ni 27 CHADEMA 22, CCM 5
Bado vijiji 40 ambavyo havikufanya uchaguzi
MATOKEO MENGINE YATAKUJIA PUNDE STAY TUNE.

No comments: