Wednesday, December 17, 2014

MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja (kulia) katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.
Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali waliohudhuria katika mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. 

No comments: