Wednesday, December 31, 2014

MSHTAKIWA WA MADAWA YA KULEVYA ADUNGULIWA KWA RISASI.

Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya raia wa Sierra Leone akiwa amepigwa risasi baada ya kutaka kuwatoroka askari magereza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. 

No comments: