Friday, January 16, 2015

BALOZI SEIF AENDELEA KUTIMIZA AHADI JIMBONI KWAKE.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Donge pamoja na Wananchi wa Kijiji hicho kwenye hafla kukabidhi mifuko 200 ya Saruji akitekeleza ahadi aliyotoa mwezi mmoja uliopita.
Baadhi ya wazee na Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Donge wakimsikiliza Balozi Seif wakati wa hafla ya kukabidhi saruji kwa uendelezaji wa Shule ya sekondari ya Donge.
Mbunge wa Jimbo la Donge Mh. Sadifa Juma Khamis akizungumza na wanachi hao ambapo nae alichangia Sh1Millioni keshi hapohapo.
Balozi Seif akimkabidhi mifuko ya saruji 200 Mlezi wa Jumuiya ya Maendeleo Donge Nd. Moh’d Abdulla Khamis akitekeleza ahadi yake.

No comments: