Thursday, January 15, 2015

BALOZI SEIF AKABIDHI MABOMBA YA MAJI JIMBONI KWAKE.

Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mabomba ya kusambazia maji safi Diwani ya Wadi ya Upenja Bibi Asha Abdulla Mussa kwa ya Kijiji cha kilombero Mkoa wa Kaskazini Unguja.Kati kati yao ni Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi.
Mabomba ya kusambazia maji safi katika Kijiji cha Kilombero yenye gharama ya shilingi Milioni 17,000,000/- yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kitopo Balozi Seif Ali Iddi.
Balozi Seif Ali Iddi akishiriki katika kazi ya uchimbaji mtaro kwa ajili ya ulazaji wa mabomba  kwa ajili ya huduma za kusambazia maji safi katika Kijiji cha Kilombero.

No comments: