Thursday, January 15, 2015

JUBILEE INSURANCE YAJA NA LADY JUBILEE, Ni Bima maalum kwa wanawake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya Jubilee nchini Tanzania George Alande akizungumza na Raha za Pwani Blog, jijini Dar es Salaam leo kuhusu huduma mbalimbali za kampuni hiyo, ikiwemo huduma yao mpya ya Lady Jubilee ambayo ni bima maalum kwa wanawake. Kushoto ni Afisa Masoko na Mipango ya Maendeleo ya Biashara Elieth Kileo. Taarifa zaidi angalia viapatanishi hapo chini.
Elieth na Mr George.No comments: