Wednesday, January 14, 2015

MNYAMA ALIVYONG'ATA MAPINDUZI CUP!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kombe Nahodha wa Timu ya Simba Hassan Is'haka baada ya kuifunga Mtibwa kwa matuta 4-3 mchezo wa Fainali ya kombe la Mapinduzi uliofanyika jana ikiwa ni kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amaan.
Shangwe zikaendelea uwanjani.
Wanazi wa kutupwa!
Dk.Shein akiwasalimia vijana wa Msimbazi! AKA Wanyamaaa!
Mashabiki! kwa umakiiiiini! wanafuatilia.
Kikosi kamili kilichowakilisha!
Kikosi cha Kesho na bendera yao ya FIFA.

No comments: